DK KWENYE BEAT - BAHATI WACHANA NA SISI (Official Lyrics Video)

0 Просмотры
Издатель
Artist-DK KWENYE BEAT

TITLE-Bahati Wachana Na Sisi

Audio -Teddy B

Written by DK KWENYE BEAT

Connect With Dk kwenye Beat

Instagram: @dkkwenyebeat

Twitter: @dkkwenyebeat

Facebook: Dk kwenye Beat

….......

Naskia mtoto wa Diana umeroroa eeeeh,
Unahukumu watu umekuwa Mungu eeeehh,
Unajichocha unajua baba heaven ni nani eeeh
Umesema yako niruhusu niseme yangu eeeehh

Naskia Ringtone Chairman umemvisha kamisi
Ati Daddy Owen aende Radio Jambo arudiane na bibi
Kabi wa Jesus sijui unamuuliza nini
Ata ka alisosi Cuzo achana na sisi

Unasema Guardian ameowa mutu anafaa kuwa Guardian wake,
Wako akifika 50 atakaa kama wake,
Ati seed alikataa mimba yake,
Yani Bado unaamini Edgar na wanawake,

Niko Labour nazalisha wanao uchungu na mimi
After Mungu Bahati niogope Mimi
Afadhali niskie njaa nisikuskize mimi
Hauna Sauti ni Sol tu na umesahau dini

Mtoto wa mama sijui umekuwa mtoto wa nani
Uliwacha kuimbia baba sijui unaimbia Akina nani
Hizo vitu unafanya usiweke injili ndani
Unajitafutia laana umekuwa mutu bladf……….?
Категория
Фантастика HD
Комментариев нет.